ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, February 22, 2014

MSIBA DMV NA TANZANIA

Balozi Fulgence Kazaura enzi ya uhai wake

Sima Kazaura anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi kilichotokea leo nchini India. Kama ilivyoada kupeana mkono wa pole na kufarijiana ndio ustaarabu wetu msiba hapa DMV upo 
21, featherwood court apt 14
silver spring MD 20904
Tutaziji kuwajuza mambo yanavyoendelea katika msiba huu hapa DMV na nyumbani Tanzania.

 chini hapo ni namba ya mfiwa Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu.

Sima Kazaura 202 413 9184 

Bwana ametoa, Bwana ametwaa na jina lake lihimidiwe.

No comments: