ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 6, 2014

NGUMI ZA NELSON MANDELA OPEN CHAMPIONSHIP ZAFUNGULIWA KAWE


Bondia Fabian Gaudence kushoto akipambana na Hussein Mnimbo wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela yabayofanyika katika Viwanja vya TanganyikaPackers Kawe jijini Dar es salaam Gaudence alishinda mpambano huo kwa pointi 
Bondia Rashidi Samvu kutoka Kigoma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hafidhi Kassimu wa Ngome
wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela yaofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam 
Bondia Part Kimweri kutoka Tanga kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Saidi Jabir wa Ngome Dar 
wakati wa mashindani ya wazi ya Nelson Mandela yaofanyika katika Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Kimweri alishinda mpambano huo kwa pointi 
Baadhi ya viongozi wakifatilia mashindano hayo
Mkeni wa heshima katikati Diwani wa Kata ya Kawe Othumani Kipete akiwa na viongozi wa Shilikisho la mchezo wa ngumi za Ridhaa nchini kulia ni Rais wa shilikisho hilo Mutta Rwakatare makamu wa rais Lukelo Willilo na 
Mjumbe wa maendereo ya wanawake katika mchezo wa masumbwi nchini Aisha Vonialis
MAREFARII MABONDIA NA VIONGOZI WAKISUBILI KUFUNGULIWA KWA MASHINDANO HAYO
mjumbe wa bft antony mwangonda akiwa na makamu wa rais Lukelo Willilo


Na Mwandishi Wetu
MASHINDANO ya mchezo wa Ngumi yanayokwenda kwa jina la Nelsoni Mandela Open ChampionShip yameanza kutimua vumbi katika 
Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam

akizungumzia mashindano hayo yalivyo na ubora wa ali ya juu Makamu wa Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT'Lukelo Willilo 'amesema mashindano hayo kwa sasa yameboleshwa kwa kufuata taratibu za chama cha ngumi za ridhaa Dunia kwa sasa mabondia awavai kofia ngumu wanakuwa vichwa wazi hivyo wapenzi wa ngumi weje waone mabadiliko makubwa katika ngumi za ridhaa ndio ambazo ni msingi wa maendeleo ya mchezo wa masumbwi nchini;'

zamani mabondia walikuwa wanavaa kofia lakini kutokana na mabadiliko sasa awavai kofia wanapigana vichwa wazi ambapo kwa kuanzia tumeamua kuweka mashindano haya kwenye viwanja vya wazi na ni bule tu akuna kingilio ili kila mtu ajionee mabadiliko ya ngumi mashindano hayo yanayo husisha mikoa mbalimbali nchini

mashindano haya yatakuwa ya siku tano kuanzia jumatano mpaka jumapili na ngumi zinanza kupigwa saa kumi na moja mpaka saa mbili usiku ngumi ndio zitakuwa zikisha

Katika ufunguzi huo bondia Patrck Kimweri wa Tanga alishindwa kufurukuta mbele ya Said Jabir wa ngome na Rashidi Samvu wa Kigoma alipigwa kwa pointi na Hafidhi Kassimu wakati Fabian Gaudence akimsambalatisha Hussein Mnimbo

No comments: