Ukiingia
Jengo la Utawala,Moja kwa Moja unakutana na hii Njia inayopita kwenye
Kigoda Cha Mwalimu"M-Degree" na baadae kwenye Nkurumah Hall.
Huu
ndio Mti Mkubwa unaoitwa "M-Digrii",Hapo awali(Miaka ya Kwanza ya Chuo
Kikuu ch Dsm) eneo hili lilikuwa linatumika kwaajili ya Kutolea Shahada
ya Elimu ya Juu.Pia ni sehemu maarufu kuwa Mwal.Nyerere alikuwa napenda
kukaa hapa wakati akijisomea.
Academic Bridge,Hapa hujafika Mlimani,Hujapita hapa.
Ukisha maliza Academic Bridge unakutana na Njia hii kwenye miti Mizuri kuelekea eneo la Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dsm.
Natokea Nkurumah Hall kuelekea Maktaba ya Chuo Kikuu Cha Dsm.
Jengo la Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dsm
Maeneo ya Maktaba ya chuo Kikuu Cha Dsm.
Chuo
Kikuu Cha Dsm kinaeneo Kubwa sana lililojaa Miti yenye Kivuli
Kizuri,Nyasi zake zimekuwa zikihudumiwa Muda wote.Hakika ni Moja ya Chuo
chenye eneo Kubwa sana na linalovutia kutokana na Usafi wake.
Naelekea Hall Five au?
Jengo la Cafeteria Kwaajili ya Chakula Kwa Wanafunzi.
Picha zote na Camera ya
VIJIMAMBO BLOG NCHINI TANZANIA.
2 comments:
HEKIMA NI UHURU.
I SPENT FIVE YEARS OF MY LIFE THERE. I LOVE YOU UDSM ( NO I DID NOT REPEAT I JUST GOT A COUPLE OF DEGREES FROM THERE)
Mheshimu mtu yeyote mwenye degree ya hiki chuo SI MCHEZO! MIAKA 3 NILIYOSOMA HAPO SINTOSAHAU MAISHA YANGU YOTE. KUJA MAJUU DEGREE ZINGINE NI MTELEZO TUUU..I MISS MANDHARI YAKE JUST SIMPLY NATURAL BEAUTY!!.
Post a Comment