Mhe. Fahmy amefanya ziara nchini kwa lengo la kuimarisha ushirikiano
kati ya nchi hizi mbili hususan katika nyanja za afya, elimu, uwekezaji
na siasa.
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es Salaam. |
![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipookea ujumbe toka kwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Nabil Fahmy alipomtembelea Jumamosi Februari 22, 2013 jioni Ikulu jijini Dar es Salaam |



No comments:
Post a Comment