Shehe Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam akisoma dua kabla ya kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaa
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa wakiomba dua katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kabla ya kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili kuanza katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Sehemu ya viongozi wa vyama vya siasa katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha APPT-Maendeleo, Mhe Peter Mziray akisoma hotuba yake katika kikao hicho cha Baraza la Vyama Vya Siasa vyenye usajili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Barza la Vyama vya Siasa Mhe. Peter Mziray
Viongozi wakisikiliza hotuba kwa makini
Viongozi wa vyama vya siasa wakiwa kikaoni hapo
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Ernest Mangu akiwa na Kamishna Isaya Mungulu Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai DCI wakiwa wageni waalikwa kikaoni hapo
Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho
Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho
Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho
Viongozi wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete
Rais Kikwete akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa kikao hicho
Wajumbe wakifiuatilia hotuba ya Rais Kikwete

Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe na Katibu wake Mhe Wilbroad Slaa wakifuatilia hotuba ya Rais Kikwete kwa makini
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe akifuatilia hotuba hiyo
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake
Viongozi wakimpigia makofi Rais Kikwete
Viongozi wakiangua kicheko
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akitoa neno la shukurani
Rais Kikwete, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariffa Hamad, Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama na maafisa wa serikali wakitelemka ngazini baada ya kupata chakula cha mcha pamoja
Rais Kikwete na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariffa Hamad wakiongea
Sehemu ya wajumbe wa kikao
Wajumbe wa kikao
Wajumbe kikaoni
Wajumbe kikaoni
Rais Kikwete akiendelea na hotuba
Wajumbe wakisikiliza kwa makini
Rais Kikwete akimalizia hotuba yake
Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya

Pokea rasimu ya katiba mheshimiwa...
Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya
Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya
Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya
Rais Kikwete akikabidhi kwa viongozi wa vyama vya siasa nakala za rasimu ya katiba mpya
Rais Kikwete akisalimiana na Mhe Tundu Lissu baada ya kufungua kikao
Rais Kikwete, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika picha ya kumbukumbu na wenyeviti wa vyama vya siasa baada ya ufunguzi wa kikao hicho
Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mhe Freeman Mbowe kwa hotuba nzuri
Picha ya pamoja na viongozi wa vyama vya siasa
Picha ya pamoja na makatibu wakuu wa vyama vya siasa
Picha ya pamoja na wajumbe wa kikao
Picha ya pamoja na viongozi wa dini na wa vyama vya siasa pamoja na wageni waalikwa
Rais Kikwete akiongea na Mhe James Mapalala
Rais Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha DP Mchungaji Christopher Mtikila
Mhe William Lukuvi akisalimiana na Mhe Wilbroad Slaa
Rais Kikwete, Maalim Seif Shariff Hamad, Jaji Francis Mutungi Mhe Peter Mziray na Mhe Freeman Mbowe wakitoka nje ya ukumbi
Rais Kikwete akiongea na viongozi baada ya kufungua kikao hicho
Rais Kikwete akiagana na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama Vya siasa Mhe Peter Mziray na viongozi wengine.
1 comment:
Nchi zenye nguvu kimaendeleo hazina vyama vingi kama Bongo. Do we really need all these parties? Uwingi wake hakika unagawanya Taifa letu rather than building it. Wenzetu hapa Marekani wanavyo vyama muhimu viwili au vitatu kama ukiongeza Green Party. Wachina wanacho kimoja na wanaendelea vyema. Kwa nini nchi masikini kama Bongo tunagombana na uwingi wa vyama ambavyo, to say the truth most of them are useless parties, with irrelevant ideologies? Jamani Watanzania, CCM inatosha and has done quite a lot to develop our country.
Post a Comment