ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 15, 2014

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO KUFANYIKA KITAIFA WASHINGTON, DC

Sherehe ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano itafanyika kitaifa Washington, DC Jumamosi April 26, 2014 sherehe zitaanza asubuhi saa 4 (10 am) katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC kwa maonyesho mbalimbali na baadae kuselebuka usiku. Siku ya Jumapili April 27, 2014 kutafanyika mechi ya Mpira kati ya Tanzania Bara na Zanzibar Heroes uwanja mtatangaziwa baadae kwa maelezo zaidi Msikilize Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula


1 comment:

Anonymous said...

mama balozi ahsante sana kwa speech yako tutakuja kuserebuka ahsante sana mama uko juu very smart.

na luke mpwaa ahsante man