
Nikica Jelavic wa Hull City akivutwa jezi na kuangushwa chini na Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier mtanange kati ya Hull City na Manchester City uliochezewa katika uwanja wa KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza na mchezaji. Kompany alionyeshwa kadi nyekundu dakika za mwanzo wa mchezo

Vincent Kompany wa Manchester City akionyesha sura ya ya kutoamini kadi nyekundu aliyopewa baada ya kumuangusha Nikica Jelavic wa Hull City kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier kati ya Hull City na Manchester City iliochezewa katika uwanja wa KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza

Nikica Jelavic wa Hull City akilalama kwa Refa Lee Mason wakati akimuonyesha kadi nyekundu Vincent Kompany wa Manchester City kwenye mechi ya ligi ya Barclays Premier kati ya Hull City na Manchester City iliochezewa katika uwanja wa KC Stadium siku ya Jumamosi March 15, 2014 mjini Hull, Uingereza Picha kwa hisani ya Zimbio
No comments:
Post a Comment