WARNING GRAPHIC CONTENT

Wanyama hawa ndiyo wanatamba katika butcher za Indonesia kaskazini katika mji wa Sulawesi

ukiwa ndani ya mji huu wa kaskazini mwa Indonesia masoko yao na butcher zao utakuta wanyama awa wamesha andaliwa tayari kwa kuliwa.

Uwezi kukuta Mbwa, Panya na Msituni manyani wote wanakuwa kitoweo.


Ametolewa manyoa yatari kwa kitoweo usije ukaenda huko na uchu wako wa kula nyama hii diyo habari yenyewe.

Nisokoni hapo mzani pembeni kitu kinaondoka kwa kilo pilipili na mchicha pembeni

Habari ndiyo hii kila nchi na utamaduni wake wa kula nyama

Kitu cha panya hicho siyo Mtwara tu hata Indonesia na nchi zingine za Asia hii ndiyo habari ya mjini

Awa ni popo wamesha aandaliwa tayari kwa kitoweo

Wanababuliwa kwa kutumia gas kama unavyoona jamaa akiandaa kitoweo

Juu mama yupo sokoni akifanya biashara yake hadi chatu nyama yake ni deal hiyo ndiyo nchi ya Indonesia.


No comments:
Post a Comment