ANGALIA PICHA ZAIDI ZA AJALI YA BASI LA HOOD ILIYOTOKEA LEO
1 comment:
Anonymous
said...
Hizi ajali zitaendelea kutumaliza. Watu mbalimbali wamekuwa wakihoji vyanzo vya ajali hizi. Jibu laki ni UMASIKINI. Barabara (Highways)yenye lanes mbili, moja inayoenda na nyingine inayorudi,imejengwa juu ya tuta. Haya magari yanapishana na kufuatana yakiwa mwendo kasi. Gari la mbele yako likisimama ghafla inabidi ushuke tuta na kuingia mbugani. Utalamu wako wa kuendeshea mbuga ndiyo utakao-determine ajali. Nadhani barabara zetu zimekuwa designed kwaajili ya magari yanayopaa tu. Likitokea la kutokea mbele yako wewe unapaa na kwenda kutua mbele. Barabara hazina sehemu ya kusimama na wakati huhuo kuruhusu flow ya magari.

Post a Comment