ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 21, 2014

AUDIO YA HOTUBA YA RAIS JAKAYA KIKWETE KWENYE BUNGE MAALUM LA KATIBA

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge maalum la katiba mjini Dodoma leo hapo chini ni Audio ya hotuba hiyo

Audio kwa hisani ya Subinukta Blog

1 comment:

Anonymous said...

Hongera mheshimiwa Raisi kwa kutoa hotuba iliyo tathmini mambo muhimu ambayoyatawasaidia wajumbe kuweza kutoa maamuzi yatakayo zingatia hoja na sio ushabiki