ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 29, 2014

BALOZI MULAMULA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA-KITANZANIA HOUSTON

Balozi wa Tanzania anayewakilisha Marekani na Mexico Bi. Liberata Mulamula mchana wa leo alikuta na Wafanyabiashara wa kitanzania waishio katika jiji la Houston, Texas. Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya HILTON HOUSTON WESTCHASE ulitanguliwa na chakula cha mchana cha pamoja kati ya Wafanyabiashara hao na Balozi Mulamula. Pata picha za tukio hilo hapo chini.

Balozi Mulamula akiongea na wafanyabiashara
Wafanyabiashara wakimkaribisha Balozi























Add caption












6 comments:

Anonymous said...

Ashukuriwe sana bwana Michael Ndejembi kwa kufanikisha hili, umedhihilisha kuwa ww ni sauti ya wanyonge na kiongozi wa kweli hapa TEXAS

Anonymous said...

Muna haki ya kupewa uraia pacha kama inavyodhihirika hapa kwamba munakunywa Togwa!
Ninyi ni Wazalendo.

Anonymous said...

Huyu mtu ni hazina kubwa kwa watanzania wa Texas na taifa la watanzania kwa ujumla. Tusingekuwa na majungu,chuki, ubazuzi, hila na fitina za kijinga, kina Ndejembi ndio wangekuwa viongozi wetu. Ni vijana wanaojua nn maana ya ongozi na namna ya kuwatumikia raia wao. Hawana majivuno wala kujipendekeza. Long live tinga tinga Ndejembi.

Anonymous said...

I love this guy, mtu wa watu na kiongozi watu.

Anonymous said...

Tunakokwenda sio kubaya, balozi kukutana wafannyabiashara hii safi sana.

Anonymous said...

Michael Ndejembi "the carefully chosen one"
Bila wewe kusisima kidete tungelipishwa pesa kumuona balozi, jamani!?