| Watoto wa Kitanzania wakimpokea Balozi Mulamula |
| Uongozi wa Jumuiya ukimpokea Balozi nje ya ukumbi |
| Wimbo wa Taifa ukiimbwa na watoto |
| Watoto wakiimba nyimbo za maitaifa ya Tanzania na Marekani |
| Balozi akiwa na Wanajumuiya |
| Balozi Mulamula akifurahia jambo na mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Houston Nuru Mazora |
| Balozi akiwapongeza watoto |
| Meza viongozi wapya pamoja na Mwenyekiti wa Wa-Tanzania wa Jumuiya ya Dallas |
| Wajumbe wa Baraza jipya la uongozi wa Jumuiya |
| Wanajumuiya wakifuatilia matukio |
| Katibu aliyemaliza muda wake Bi.Leyla akitoa machache |
| Katibu mkuu mpya Bw.Alfred Nkunga (wa pili kutoka kushoto) akifuatilia matukio |
| Sehemu ya umati uliofurika ukumbini |
| Wadau |
| Mwenyekiti Bi,Nuru na Katibu Bw.Nkunga |
| Maafisa ubalozi Bw.Mgendi na Bw,Missana |
| Wanajumuiya |
| Dr. Tenende na Mama Tenende wakifuatilia matukio |
| Dj.Jimmy Makwega alikuwepo kunogesha shughuli hiyo |
| Naibu Katibu wa Jumuiya Bw.Kitogo akiwa na MC.James |
| Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi Bw.Steve Maonyesho akiwa na MC.James |
| Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Bw.Simba na Balozi Mulamula wakiwapongeza viongozi wapya |
| Bw.Simba akimkabidhi Katiba ya Jumuiya Mwenyekit mteule Bi,Nuru |
| Balozi Mulamula akitoa nasaha zake |
| Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya |
| Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya |
| Balozi akimsimika rasmi Bi.Nuru kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya |
| Mwakilishi wa Jumuiya ya Wa-Nigeria-Houstoni akisalimiana na Balozi |
| Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Bw.Maonyesho (kushoto) akipewa zawadi |
| Mzee Mulamula akiwa na Dr.Tenende |
| Kutoka kushoto ni Bw.Kitogo,Bw.Nkunga,Mama Nkunga na Mama Kitogo wakipata U-kodak |
8 comments:
Hizi ni jumuiya za kuigwa. Hapa makao makuu DC balozi wetu ana wanachama asilimia 1 au 2 ya watanzania wanaoishi DMV!!!! Hongera Nuru Mazora jumuiya imepata effective leader "wanawake tunaweza". Uchaguzi unakuja hapa DMV watu mjiunge au kurenew memebership zenu ili muweze kugombea uongozi au kuchagua viongozi wetu TUACHE MAJUNGU NA CHUKU LETS SUPPORT EACH OTHER. TIME IS OUT!!!!!! TUJENGE JUMUIYA YENYE NGUVU NA TUWASAIDIE WATOTO WETU KUREACH THEIR DREAMS SIYO WAHANGAIKE KAMA SISI TULIVYOHANGAIKA.
Wewe Anonymous hapo JUU ndo maaana ukaamuia kujiiita Anonymous coz huna sera, DC tunajuiya Nzuri na hatujawahi kushindwa, ni ngumu kuishi DMV na kudeal na Watu Kama wewe Wenye negative mentality, balidika!!!!!
Congratulations SHUJAA Nuru !
Uongozi Mahiri - Nuru Mazora!
That's my Classmate !!!
Ukweli huwa unauma naunga mkono kauli ya annony wa kwanza weye ulyejibu ni kati ya hao asilimia 99 mliogoma kujiunga na jumuiya ya DMV! Sisi wanachama hai tunaelewa na tunajua tupo wangapi kulinganisha na idadi ya Watanzania hapa DMV ni aibu. That was a positive mind na badala ya wewe kuwa negative wapigie viongozi wa DMV kama wewe kweli upo hapa DMV waulize wana wanachama wangapi? THEN UJE UTOE HOJA ZAKO WITH STATISTICS SIYO KUENDELEZA MALUMBANO. LETS THINK POSITIVE AND BUILD STRONG COMMUNITIES AND NOBODY IS GOING TO BUILD FOR US, NI SISI WENYEWE WATANZANIA.
hivi kuna sehemu yenye majungu kama Houston? kuna sehemu yenye watu wavivu na matapeli kama Houston? wengi wao hapo walikuja kuuza sura tu, hakuna cha umoja wala mtoto wa umoja
Well said!!! DC ilitakuwa muwe mfano kwa jumuiya zote hapa USA. Mpo karibu na ubalozi na support kubwa kila kiongozi na viongozi wa mashirika ya umma mnaonana nao! Nilazima tuambiane ukweli DMV community inahitaji wanachama ili tuweze kujenga strong community tuwalee watoto wetu vizuri, if all professionals come together kuna madaktari, wahudumu, wahandisi, walimu, wanasheria, maprof vyuoni, walezi wa watoto, house keepers, wajasiriamali wanaomiliki makampuni mbalimbali, YOU NAME IT WE GAT IT.ipo hapa mjini tujiulize ni jinsi gani tutatumia ujuzi tuliupata na exposer kujenga jumuiya yetu?????
Hii ilikuwa 1-3 % ya watanzania hapa houston. Ila nampongeza balozi kwa juhudi zake za kujaribu kuwatembelea watanzania kwenye jumuiya mbalimbali hapa US.
Style ya kilemba cha mama balozi imenimaliza kabisa. Kilemba kimemtoa kama mama shujaa fulani hivi kutoka moja ya makabila yetu ya Tanzania.
Nimeipenda style yake.
Post a Comment