Bash la siku ya kuzaliwa ya Dj Luke iliyofanyika Safari Club na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki wa Dj Luke usiku wa Jumamosi March 1, 2014.
Dj Luke akiwa na marafiki zake kwenye picha ya pamoja waliokuja kujumuika naye kwenye usiku huu maalum wa siku yake ya kuzaliwa.
Marafiki wa Dj Luke wakipata ukodak moment.
Ukodak moment usiku wa bash ya kuzaliwa kwa DJ luke.
Mrafiki wa Dj Luke katika picha ya pamoja.
Marafiki wa Dj Luke waliofika kujumuika nae kwenye bash ya siku ya kuzaliwa ya Dj Luke.
Dj Luke katika picha ta pamoja na rafiki yake Taji.
Dj Luke na mwanae mwenyewe Rich
DJ Luke katika picha ya pamoja na Bosslady akiwa na mdogo wake Cathy (kulia)
Dj Luke akiwa na mama lao, malikia wa muda ule Latifa.
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
3 comments:
mkuu happy birthday umetimiza mingapi mbona hutuambi wadau wako katika mtandao huu. kila la kheir
luke nilidhani utapiga vikali bwana mbona uko so simple my man katika big day yako
vipi washkaji zako wa vijimambo team hawapo mbona?
kina randi,mario chadomo benja,etc
Post a Comment