Meneja
masoko wa bidhaa za TreSSa, Manoj Kumar akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa bidhaa za TreSSa uliofanyika katika Hoteli
ya Goldcrest jijini Mwanza jana. Kulia ni Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey.
Meya
wa Jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula akielezea furaha yake ya ujio wa
bidhaa hiyo jijini Mwanza na namna itakavyoongeza ajira ya vijana hasa
watoto wakike watakao kua wakiiuza.
Johan Vanden Heevevol akitoa maelezo ya bidhaa ya TreSSa.
Waalikwa wakifuatilia maelezo ya bidhaa hiyo ya TreSSa
Mwana dada Olever Nazareth mkazi wa malimbe jijini Mwanza akiwekwa dawa ya TreSSa na mhudumu wa salon.
Olever Nazareth akionesha vile unywele wake unavyomeremeta baada ya kutumia dawa ya TreSSa.
Olever
Nazareth (kushoto) akiwa na Aziza Ismail kutoka Chuo Kikuu cha St
Augustino (SAUT) cha jijini Mwanza baada ya kusetiwa nywele zao na dawa
ya TreSSa.
Zawadi zilitolewa kwa washindi wa bahati nasibu.
Msanii Sara Kaisi 'Shaa' akitoa burudani ya sugua gaga ukumbini.
Meneja wa bidhaa za TreSSa, Dorith Godfrey akizungumza wakati wa uzinduzi huo jijini Mwanza.
Meya
wa jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula (kushoto) akizungumza jambo na
Meneja masoko wa bidhaa za TreSSa, Manoj Kumar wakati wa uzinduzi wa
bidhaa hiyo ya Tressa inayozalishwa na Kampuni ya Chemi cotex mkoani
Mwanza jana.
Waalikwa katika uzinduzi huo wakisakata rumba.
No comments:
Post a Comment