Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John
Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za
Tanzania,Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(watatu
kushoto),Mwakilkishi wa Kampuni ya ujenzi ya Strabag Bwana Philip
Raiver(wanne kushoto) na mkurugenzi Mtendaji wa TANROADS mhandisi
Patrick Mfugale(kulia) wakiata utepe kuzindua rasmi uakarabati wa
Barabara ya Korogwe-Mkumbara yenye urefu wa kilometa 76 jana mjini
Korogwe.Ukarabati huo unafadhiliwa na Benki ya Dunia.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(katikati), Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe
Magufuli(kushoto), pamoja na Mwakiklishi wa Benki ya Dunia Bwana
Philippe Dongier wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuashiria
kuzindua rasmi ukarabati wa barabara ya Korogwe hadi Mkumbara kwa
ufadhili ya Benki ya dunia.Uzinduzi huo ulifanyika mjini Korogwe jana
.Wanne kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga Lutemi Mstaafu Chiku Galawa.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandaa kuapanda mti wa kumbukumbu wakati wa
hafla ya uzinduzi wa ukarabati wa Barabara ya Korogwe hadi Mkumbara
jana mjini Korogwe huku mwakilkishi wa Benki ya Dunia inayofadhili mradi
huo Bwana Phillippe Dongier akiangalia.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia
kata ya nchi za Tanzania, Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier
(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukarabati wa Barabara ya
Korogwe Mkumbara yenye urefu wa kilometa 76 uliofanyika jana mjini
Korogwe.Kulia ni Waziri wa ujenzi Mh. John Pombe Magufuli. Picha na Freddy Maro.
No comments:
Post a Comment