Advertisements

Sunday, March 2, 2014

Bwana Fue na Bi.Margareth Wameremeta Houston usiku huu

Mwenyekiti wa CHADEMA-Houston Bw.Fue O. Fue jana jumamosi aliiacha rasmi kambi ya Ukapera na kumuoa mwandani wake Bi Margareth katika Harusi ya kukata na shoka iliyofanyika kwenye ukumbi wa Cinco Ranch Golf Club jijini Houston. Pata picha :-
Bwana na Bibi Fue wakifurahia

Maharusi na wasimamizi wao
Waalikwa

Muziki kwa afya

Wasimamizi

Maharusi



Wasimamizi  
Furaha ya ndoa



Bwana na Bibi Fue

Cake ya Harusi

Muda wa keki









Pokea Cake hii
























Dj.Jimmy akiwa kazini

MC Jimmy Doe aka Teacher









































































































































6 comments:

Anonymous said...

Bibi harusi kafunika mabibi harusi wote wa Houston .she is beauty mkaka ume win lottery

Anonymous said...

Love the Bride. So pretty and elegant !
Arusi nzuri sana , Bwana asifiwe ! Mungu awape Maisha mazuri ya Furaha na baraka !

Anonymous said...

Bibi harusi ni mzuri Jamani kaa.wewe mkaka unabahati .Last name ya bibi harusi ni nani ?sijawahi msikia Houston au ndio waliotulia .Mwanamke Kama Huyu nikimpata Nanunua bunduki aiseee.Kumbe texas kuna Wanawake bomba .Hongera kijana mtunze mama Huyo ,mtoto jicho Dah .

Anonymous said...

itabidi uwe na ujuzi wa ziada kumtuza mrembo kama huyu, huyu ni classic lady moto wa kuotea mbali usifanye mchezo tunza malkia wako kwa kila ujuzi wako unaoujua na utakaupata

nakutakiyeni ndoa njema na mungu awe kinga yenu daima amen

Anonymous said...

Harusi imefunika kinoma, bibi harusi mzuri na kapendeza sana.Hongereni maarusi

Anonymous said...

Hongera Brother Fue, lakini ungemwalike bwana Slaa or Mbowe.