ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

DIAMOND AMEONDOKA KWENDA NIGERIA KUFANYA VIDEO MPYA

Diamond akiwa na Bab Tale tayari kwa safari yao.

Wema Sepetu hakukosa kumsindikiza kipenzi chake uwanja wa ndege.

Wiki iliyopita Diamond Platnumz alisema anatarajia kusafiri kwenda nchini Nigeria (March 30) kwa ajili ya kufanya video ya wimbo wake mpya aliofanya collabo na mastaa wa huko. Usiku wa kuamkia leo Platnumz amepost picha Instagram akiwa ameongozana na meneja wake Bab Tale wa Tip Top Connection, wakiwa uwanja wa ndege JNIA tayari kwa safari yao ya Lagos. GPL

2 comments:

Anonymous said...

kama anakupenda akuowe basi sio ukawa unachezewa chezewa tu kila siku na wanaume wote duniani.

Anonymous said...

mnataka kuwa royal family kila leo misifa misifa yakuwa kwenye vi blog siyo, tumekuchokeni na umbeye wenu wa kitoto.