Tulitegemea flyover zinge kuwa za kupitisha magari na kupunguza poleni za mjini lakini bongo tofauti, flyover za watembea kwa miguu baada ya magari. Bongo tambalale habari ndiyo hii je foleni zitapungu kwa mtaji huu?.
Habari ndiyo hii flyover hizo wapita kwa miguu watapita hewani tu sasa wakitaka kuvuka barabara


1 comment:
Mleta mada unachanganya mambo.Mpaka sasa Tanzania hakuna flyovers, ulichokionyesha hapo ni pedestrian cross bridge.
Post a Comment