ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 16, 2014

HALMSHAURI YA WILAYA IRINGA YAKABIDHI MSAADA KWA WATOTO YATIMA

SAM_2769

 


SAM_2738 SAM_2736 Wafanyakazi wa shirika la Restless Tanzania, Mwadawa na Amne wakitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa  Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka juu ya shughuli za shirika hilo.SAM_2718 Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akipanda mti katika shule ya msingi Igula katika Tarafa ya ismaniSAM_2769Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Iringa Pudenciana Kisaka akiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo Nyumbani kilichoko Ismani.

No comments: