ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 31, 2014

HUYU NI MMOJA WA MAWAZIRI WAPYA WA ITALY

Mmoja wa mawaziri wa Italy akisaidi kiapo chake mbele ya Rais wa Italy

5 comments:

Anonymous said...

NAFIKIRI HAKO KACHUPI KANATKAIWA KAKATWE KAMBA..ABAKI UCHI KABISA

Anonymous said...

Nadhani hii picha imekuwa photoshopped, angalia asiku sue

Anonymous said...

Wewe Anon hapo juu hako kachupi kakatwe ili iweje? huu ndiyo uhuru wa kila mmoja kujiamulia mambo yake. Unafikiri huyo waziri mkuu na hao wengine hawajaona? Huyo mama kaamua kuvaa anavyopenda siyo wewe unavyotaka...ebu kamshike tu kama hujala mvua miaka 40? Unafikiri hii ni bongo mnavyofikiria ku-enforce dressing code mnayopenda?

Anonymous said...

Acheni vita dhidi ya wanawake,bahati mbaya koti fupi akajisaha akainama.things happen jaribuni kutazama mambo in positive way.by the way she is beautiful

Anonymous said...

Hiyo picha ni photoshop, Picha yake halisi ipo, hata hivyo iliongelewa kwenye vyombo vya habari Italy.unaweza kugoogle kwenye image na kujionea mwenyewe.