AFRO-CARRIBEAN INTERNATIONAL NIGHT TONIGHT @ SAFARI CLUB
LUKE MUSIC FACTORY INAKUKARIBISHA KIOTA CHA SAFARI CLUB JUMAMOSI HII MARCH 29, 2014 KIOTA CHENYE VIONJO VYA MUZIKI WA KITANZANIA NI USKU WA KIMATAIFA WA AFRO- CARIBBEAN KARIBUI SANA
3 comments:
Anonymous
said...
Dj Luka,tunapenda kukupa support ila location hii ni kizaazaa. Rudi Seska au maeneo ya Silver Spring tutakuja wengi. Fan wa Dj Luka
HUYO JAMAA MWENYE FULANA NYEKUNDU MBONA MSHAMBA HIVYO UTAFIKIRI YUKO DISCO LA KAHAMA MINING, NGUO GANI HIZO ZA KUVAA KWENYE MTOKO WA USIKU kHAAAA§!!!!!!"""!!!¤¤33#
Wabongo bana we kama hutaki kumsapoti Luka sema tu, maana hata alipokuwa anapiga seska bado wabongo mlikuwa hamji, siku zote mnatafuta kitu chakusema kwanini hamji, we ungekua fan wa luka ungemfata kokote kule anakopiga, kwani unaenda sababu ya venue au sababu ya luka hacheni hizo.
3 comments:
Dj Luka,tunapenda kukupa support ila location hii ni kizaazaa. Rudi Seska au maeneo ya Silver Spring tutakuja wengi.
Fan wa Dj Luka

Post a Comment