ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2014

Kadjanito Nzogo Official Music Video

Video mpya ya Msanii Kadja yule Dada aliyeimba Maumivu.
Amekuja tena na Audio na Video yake mpya. Kazi imefenywa na Legendary Music-Tanzania. Tunaomba Support yako sana kwa ku share na watu wengine. Pia usisite kutupa Maoni yako ili kuweka kufika mbali zaidi.
Unaweza pia kuona kazi zetu nyingine katika 
Youtube,Facebook,Twitter,instagram, linkedin n.k. kwa jina la
LegendaryMusic-Tanzania



No comments: