ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

Karibu Kwa Ibada ya Misa ya Kiswahili, 3/30/2014 2:00pm, Capuchin College, CUA Washington DC

Ndugu Wapendwa Wote

Mnakaribishwa kwenye ibada ya misa takatifu kuwaombea watoto wetu mafnikio shuleni.

Ibada itafanyika Capuchin College, The Catholic University of America (CUA), Washington, DC 20064, 
Tarehe 30 Machi 2014, saa nane kamili mchana (3/30/2014 2:00pm)

Unaombwa ufike saa saba kamili (7:00 PM) kwa ajili ya maandalizi na mazoezi ya nyimbo.

Karibu sana na unaombwa uwakaribishe ndugu, jamaa na rafiki zako.

Asanteni Sana. 

Kwa niaba ya Pd. Leandry Kimario, Katibu Dani Steven.

No comments: