Kutokana na tetesi za Linah Sanga Amedungwa Ujauzito na Mdosi mmoja Ajulikanae kwa Jina Nagar Aneye Ishi Mbezi , amekuwa karibu na Mhindi huyo anayedaiwa kuishi Mbezi jijini Dar es Salaam kwa muda mrefu sasa na kwamba mimba hiyo imeonekana kumfurahisha sana msanii huyo.
“Huyu Nagar ni mpenzi wake wa muda mrefu na inaonekana hii mimba ameipenda sana. Kila siku anamsifu huyo mpenzi wake,” kilisema chanzo hicho kilichodai kuwa wawili hao wamekuwa wakiambatana pamoja katika sehemu mbalimbali za starehe...
Linah Akitiririka Kujibu Habari Njema Hiyo na alitoa Ufafanuzi juu ya Hilo...jitiririshe na hiyo habari hapa chini.

No comments:
Post a Comment