ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

MABADIRIKO YA UCHAGUZI NAFASI YA UKATIBU CCM DMV

Kamati ya uchaguzi CCM DMV Chini ya wanakamati wafuatao Jabiri Jongo (Mwenyekiti), Fadhil Londa (mjumbe), Mwinyikheri Mkwavi  (mjumbe) na Mzee Joel (mjumbe) inawatangazia mabadiriko ya tarehe ya uchaguzi kwa nafasi ya ukatibu. TAREHE YA UCHAGUZI SASA NI . APRIL, 21, 2014.Itakuwa siku ya Jumapili. Tutatangaza mahali uchaguzi utakapofanyika.

 MASHARTI YA KUPIGA KURA:

 (a) Uwe mwanachama wa CCM
 (b) Uwe na kadi ya chama siku ya uchaguzi
 (c) Uwe mwanachama hai
(d)Mwisho wa kurudisha form ni APRIL, 12 2014.

Kukiwa na ya ziada tutawajulisheni.  Kwa maswali, tafadhali wasiliana na wanakamati wafuatao:
 Jabir Jongo:240-604-0574
 Fadhil Londa:(301) 377-4920
 Mwinyikheri Mkwavi1 (240) 603-3274:
 Mzee Joel:(240) 432-7621

 Tangazo Limetolewa na Kamati Ya Uchaguzi.

 Kidumu Chama Cha Mapinduzi!!!!!

 Jbjongo

No comments: