Daudi Michael ( Duma )
kushoto mwenye suti nyeusi msanii maarufu aliyefunika katika Filamu
iitwayo SIRI YA MTUNGI leo amemzika mama yake mzazi baada ya kumuuguza
kwa
mda mrefu kidogo hatimaye kufariki dunia jana.
mda mrefu kidogo hatimaye kufariki dunia jana.
Kushoto
ni Msanii aliyefiwa na mama yake mzazi, Hapo pichani amekumbatiana na
msanii mwenzie maarufu kutoka bongo movie's Shija katika hali ya
kuliwazana kusahau yaliopita maana yote ni mipango ya mungu haipingiki
hata kidogo..
Mtu wa karibu wa msanii huyo aliyeondokewa na mama yake mzazi aliiambia Website ya Masai Nyotambofu wasanii
walionyesha ushirikiano wa hali ya juu kwa kuhudhuria katika msiba huo
na huo ndio mfano mzuri kwa wasanii tupendane wakati wa raha na wakati
wa matatizo pia. M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Kupa, Kitale Teja na Mkono wa mkonole wakiwa katika hali ya majonzi kufuatia msiba huo..
Majanja, Kupa na Shija..
Majanja akipiga menyu
Mwili wa marehemu ukiwa kwenye gari tayari kupelekwa makaburini kuhifadhiwa..
Hapo ndipo alipolala leo mama wa Msanii Duma, Ooo mama Rest in Piece.





















No comments:
Post a Comment