ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 18, 2014

MKURUGENZI WA METRO TIRES AMTEMBELEA ELISHA ERIC BAHUNDE

Mkurugenzi wa Metro tires Kessy akipata picha ya pamoja ndugu yetu Elisha Eric Bahunde mara alipomtembelea hapo hospitalini kwake siku ya Jumanne March 17, 2014. Kessy nae alipata dhoruba ya kupasukia na tairi akiwa kazini kwake wakati akiijaza upepo na tairi kupasuka na kumrusha mita kadhaa lakini alisalimika na kupata maumivu kidogo akiuguza mkuu wake wa kulia unaomfanya achechemee.

1 comment:

Anonymous said...

pole kijana kuwa imani maisha yataendelea