ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 28, 2014

MTI WADONDOKA NA KUZIBA BARABARA YA TRA ENEO LA MWENGE JIJINI DAR ES SALAAM

 Magari yakipita kwa shida kwenye eneo hilo la barabara  baada ya mti kuanguka kwenye na kupelekea foleni kubwa eneo hilo la Mwenge.
 Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo katika barabara ya TRA eneo la Mwenge jijini Dar leo
 Magari yakipishana kwa shida baada ya mti huo kudondoka barabarani kutokana na mvua zilizokuwa zinanyesha pamoja na upepo.
Magari yalilazimika kutumia njia moja kwani eneo hili lilikuwa limezibwa na mti huo uliodondoka kwenye eneo la barabara.

PICHA NA PAMOJA BLOG

No comments: