Habari mbaya zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mtoto mmoja kati ya mapacha wanne Pichani amefariki dunia jioni ya leo baada ya kuugua kifua kwa muda mfupi, ni mtoto wa kwanza kushoto ambaye pia ndiye alikuwa ni mkubwa.
Taarifa zaidi zinakuja endelea kufuatilia
Mwandishi Mkuu wa Mbeya yetu Blog Joseph Mwaisango , akiwa pamoja na mtoto wake Erick Mwaisango wakati walipo kwenda kuwatembelea watoto hao, hapa akiwa amemshika Marehemu.
Na Mbeya yetu


No comments:
Post a Comment