Nakala ya barua ya Askofu Kakobe ya ujumbe kwa Rais Kikwete
3 comments:
Mtanzania, Washington, DC
said...
Askofu gani wewe ambaye unaiombea nchi yako madhara mabaya? Wewe siyo nabii, bali ni mdau wa kawaida kama wadau wengine nchini. Acha upuuzi usio na maana. I am convinced Askofu huyu have some psychological or mental issues. Wadau, tumsaidie apate tiba maana aliyoyaandika is insane. Tanzania ni nchi ya amani, na Mwenyezi Mungu ataendelea kuilinda daima na milele. Mawazo yako Askofu ni ya kishetani, na inabidi uvuliwe nafasi yako, because what you have written is a disservice to the Petencoste denomination.
mmmmmmmm, Sizitaki mbichi hizi, huku roho inakutoka wazitaka. Huyu mtu matatizo matupu, sasa inasadia nini kuombea laana watu wagawanyike? Uchochezi mtupu.
Nadhani kabla ya kuanza kumsema huyu Askofu lazima kuchambua yale aliyoandika ndio kuanza kuzunguamza. Kuna uongo ambao ameuongea na kama hupo ni hupi? Usikulupuke na kuanza kusema askofu gani anatualibia Amani, Unajua Amani na utulivu? Tanzania hakuna Amani wala utulivu. Amani na Utulivu lazima kuwepo na Maendeleo na Ukweli. Watanzania hawajui haki zao wala hawajui wanataka nini wala wamekosa nini wala wanaelekea wapi. ndio maana kila kitu ndio na Amani yetu. Wakati Dunia inakwenda mbele sisi tunashangaa tunasubiri vyama vya siasa viseme nini.

Post a Comment