ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 12, 2014

PICHA: JINSI 'SUPERWOMAN' JOYCE KIRIA ALIVYOSHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani mwaka huu yalifanyika tarehe 8 Machi ambapo kipindi pekee cha wanawake Tanzania kinachoongozwa na 'Super Woman' Joyce Kiria, Wanawake Live kinachorushwa kila Jumanne saa tatu kamili usiku kupitia televisheni ya EATV, kilipata nafasi ya kuhudhuria kilele chake katika Mikoa ya Mwanza na Mara.
Hizi hapa ni baadhi tu ya picha:




No comments: