ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 12, 2014

AKIKISHA UMEFANYA MAZOEZI KWANZA USIJE KUJARIBU NYUMBANI

)


Nimazoezi tu kwaiyo unaweza kuanza taratibu bila kuvujajasho.
Usifikirie huyu aliweza kufanya hivi kwa siku moja kidogo kidogo tu.
Mtoto na mama
Mazoezi na mapenzi kwa mtoto pia.
Usije kujaribu nyumbani bila mazoezi ukasababisha mtoto kupata dharuba bure ukijaribu basi akikisha 911 wako next door.
mtoto nae kwanini asiwe kama mama
habari ndiyo hii
kidogo kidogo huku ukismile
safi hiyoo
Samaki mkunye 
Samaki mkunye

No comments: