ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 30, 2014

PICHA YA LEO

11 comments:

Anonymous said...

Mrudi makwenu, mnang'ang'ania tuu kwa wenzenu. hamna mbele wala nyuma.

Anonymous said...

Mtu kupumzika Ni kitu cha aajabu?

Anonymous said...

we Mdau wa kwanza ukiona mtu hataki kurudi Nyumbani ujue labda huwenda ni bora kuwa homeless ulaya kuliko bongo uku homeless walau anajiakikishia mlo wa siku wa kupata sandwich na soup tofauti na bongo.maisha si ameyasogeza wajameni.
mdau illinois.

Anonymous said...

mdau wa kwanza uhakika wa homeless ku survive ughaibuni kama siyo mlevi wa ni mkubwa kuliko nyumbani kwaiyo sioni cha ajabu kama jamaa hataki kurudi
holemess Life expectancy in usa 48.1years.
homeless Life expectancy in Africa less than 30 years

Anonymous said...

haturudi makwetu mpaka tupate tulichokijia huku ili tuje kulia kivulini huko na tunakujuweni sana ndo nyinyi wakwanza mtakao kaa na kutusema na kutucheka na kutukebehi tukirudi mikono mitupu.
bora tufe huku huku na shida zetu tukifanikiwa tu tutarudi na mtakaa mtaatahayari na mimicho kutukodolea kwa chuki zenu binafsi.
mnadhani hatujui kwamba mnataka kuja na nyinyi huku sema nafasi na uwezo hamna.
mtakufa na choyo zenu

Anonymous said...

ndio hatuna mbele wala nyuma na ndio tunanyangania kwa wenzetu je nyinyi huko mna mbele au nyuma,kasi si utapeli na kujirahishisha kwa vibuzi na kuishi kwa kukopa.

tutakuja kwa wakati wetu kama tulivyokuja huku kwa wenzetu tena tuna kura raha hajawahi kuziona huko

Anonymous said...

wadau wote wawili nawaunga mkono wamesema ukweli kupumzika si ajabu cha ajabu ukiwe nje na haleti picha nzuri na mdau wa mwanzo unasema turudi mweketu kwani unadhani hatut aki au hatutorudi? na maisha popote na maisha kuhangaika so usilete zarau za kijinga. na cha muhimu huyu anaweza akawa si mtanzania anaweza akawa mmarekani so usikurupuke na kuchonga na kuona ni mtanzania

je huko wewe umetuandalia nini tukirudi sisi tusio na mbele wa nyuma huku marekani si unatuambia turudi tuambiye umetuandalia nini

acha hizo zadharu za kitoto

Anonymous said...

Mambo yote ulaya .....sinziakwa raha zaako hakuba vibaka wala mbu bongo lini mtafikia hayo?

Anonymous said...

Msilaumu inatokea.mtu ametoka night shift anasubiri bus kapitiwa na usingizi tabu iko wapi. Number 1 hayo maneno ya jelous tumeyazoea rud i kwenu kila siku lakini hamwishi ubalozini kuomba visa na kutuomba hela tutakuja kutembea tu bongo.hahahaha

Anonymous said...

huyo raia na ndiokwao alie piga hiyo picha ndio arudi kwao

Anonymous said...

mimi nashangaa kwanini tunafikiria kuwa huyo ni mtanzania lwasababu ni mweusi. mbona hatufikirii kama ni taifa jingine tuache majungu jamani tupendani.