ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2014

Picha za baby shower ya Diana Kundasai Terry (na Justine Cosmas Takule) tarehe 15 Machi 2014 - College Park, Maryland (USA)

 Keki kwa ajili ya baby shower ya Diana iliofanyika Jumamosi Machi 15, 2014 College Park Maryland (USA) - Mpambaji alikuwa ni Marbelle Events Inc.
Mama mtarajiwa, Diana Kundasai Terry na Baba mtarajiwa Justine Cosmas Takule wakiingia jukwaani na kupata u kodak moment kwe sherehe ya baby shower ya Diana.
 Mama mtarajiwa, Diana Kundasai Terry na Baba mtarajiwa Justine Cosmas Takule wakijiandaa kukata keki kwa ajili ya kushereheka baby shower ya Diana iliofanyika Jumamosi Machi 15, 2014 College Park Maryland (USA)

Kwa picha zaidi bofya hapa

No comments: