ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 31, 2014

PICHA ZAINGINE ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOKUTANA NA WATANZANIA UINGEREZA

Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiambatana na mkewe mama Salma Kikwete na viongozi mbalimbali wa kitaifa kwenye mkutano wa Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014 katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.
Mhe. Rais Jakaya Kikwete pamoja na Waziri wa  mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Mhe. Bernard Membe wakipitiapitia mambo mawili matatu kwenye karatasi zao kabla Mhe. Rais Jakaya Kikwete hajazungumuza na Watanzania nchini Uingeraza siku ya Jumapili March 30, 2014 katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.
Mama Salma Kikwete akiwa meza kuu alipokuwa kwenye mkutano wa Mhe. Rais Jakaya Kikwete alipozungumuza na Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014. katika ukumbi wa uwanja wa Wembley.
Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiongea na Watanzania nchini Uingereza siku ya Jumapili March 30, 2014.
Watanzania na viongozi mbalimbali wa kitaifa wakifuatilia hoyuba ya Mhe. Rais Jakaya Kikwete alipokua akiongea na Watanzania nchini Uingereza.
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Picha na Ally Muhdin UK

22 comments:

Anonymous said...

hao waharabu wa bagamoyo, nilazima wavae vile nakukaa viti vya mbele kusudi waonekane au ilikuwa nini?kwanini wasivae kama watanzania wengine? ujinga wa mu africa....

I will say this again, someone should advice our president on when to put on a business suit or just be in a smart casual outfit like this one. I've seen him so many times, meeting officials from other countries or his own, while in casual outfits!!

Anonymous said...

Tunataka kujua alizungumzia nini Mhe. Rais.

Anonymous said...

Nothing alizungumza, waliogopa kumuuliza uraia pacha na memgine, woga mtup na unafiki.

Anonymous said...

Ndiyo maana ya UHURU!..Unaamua unachotaka kuvaa!!...Au KutoVaa!!...Hakuna aliyekuchagulia wewe chochote...

Anonymous said...

Ndiyo maana ya UHURU!..Unaamua unachotaka kuvaa!!...Au KutoVaa!!...Hakuna aliyekuchagulia wewe chochote...

Anonymous said...

Ndiyo maana ya UHURU!..Unaamua unachotaka kuvaa!!...Au KutoVaa!!...Hakuna aliyekuchagulia wewe chochote cha kuvaa...Wewe vipi?...Au mwoga wa hayo mavazi nini?...Mbona huogopi kandambili?..

Anonymous said...

KWANI WATANZANIA WENGINE WAMEVAA VIPI?...UNARUHUSIWA NA WEWE KUVAA KAMA WAO NA KUKAA NYUMA !!...AU POPOTE !!...NDIO MAANA YA "UHURU"...

KWANI WATANZANIA WENGINE WAMEVAA VIPI?...UNARUHUSIWA NA WEWE KUVAA KAMA WAO NA KUKAA NYUMA !!...AU POPOTE UNAPOTAKA !!...NDIO MAANA YA "UHURU"...

mtakufa na kijiba cha roho na choyo zenu za kibinafsi eti hao warabu wa bagamoyo kinakuwasha washa nini? na kwa nini wasivae hivyo ni mafazi ya kiislamu si ya kiiarabu kama hujui uliza mbona wewe ukienda kwenye kikao kama hichi unatafuta suti kuvaa au utafaa kaniki kwani fashion show ya africa night hii?

mjinga daima utamuona kwa kauli za kijinga jinga na kubeza wenzake

Anonymous said...

mtoa madaa wa kwanza na wa pili hapo juu nakuliza hivi wewe akili zako timamu au zimeruka basi kama zimeruka nenda ukaombewe kwani wakivaa hivyo kunaubaya gani si nguo zao wenyewe na wewe ukenda katika function kama hivi vaa zako za unazozitaka wache waraabu wa bagamoyo na yao hutowaweza utawatafuta kwa sana lakini hawako saizi yako wenzako wanaupeo wa kuona mbali zaidi yako ndo maana wakajiamulia kuva hivyo na kujionyesha kwamba sisi ndo hivi tulivyo na wala hatubadiliki

Anonymous said...

"waharabu wa Bagamoyo" wana haki ya kuvaa wanavyotaka, kwamni hao "watanzania wengine" wamevaa nguo za Kiafrika? They look alright and in-place.