Theluji yasababisha mji wa DC kuwa kimya kutoka na serikali kutangaza mapumzika kutokana na hali ya hewa hiyo.
Magari yalikuwa ya kuhesabu barabarani kwani kukiwa na hali ya hewa kama hii ni hatari sana kwa madereva.
| Watu waliamua kubakia majumbani baada ya serikali kutanga hali ya hewa kuwa mbaya |

No comments:
Post a Comment