Stori: Shakoor Jongo
KhAA! Mshiriki wa Shindano la Miss Kiswahili mwaka 2009 ambaye kwa sasa yuko nchini China akijitafutia maisha, Rehema Fabian amenaswa laivu akiwa kimahaba na kibabu cha kizungu.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa njia ya simu, mnyetishaji wetu ambaye naye yuko nchini humo alisema kuwa kwa sasa mrembo huyo anajiachia na babu huyo ambaye kwa kumwangalia harakaharaka anaweza kuwa sawa na mjukuu wake.
“Unajua mapenzi ya wazee ni mazuri sana, kwanza wanajua kubembeleza, isitoshe hawakupi msongo wa mawazo mara kwa mara kama yalivyo mapenzi ya vijana na ndiyo maana Rehema akaona bora ajiachie na kibabu,” alisema mtonyaji huyo.
Baada ya kupata ‘infomesheni’ hizo, Ijumaa Wikienda lilimtafuta Rehema ili kujiridhisha kuhusiana na stori hiyo ambapo kwa upande wake alianza kucheka kisha kudai aachwe ale ujana.
“Ahaha! Mshaanza mambo yenu, niacheni jamani nile ujana,” alisema Rehema.
Credits:GPL

2 comments:
Hivi mbona wadogo zetu wanakimbilia China sana kuna ninini huko.Yaelekea kupata visa ni rahisi mno.Tunawaombeni ndugu zetu mliopo China msaidianeni basi,mliotangulia muwe hata na umoja wenu maana watoto wadogo kama hawa wanaishia kwenye mikono ya wauaji kama tulivyosikia habari za yule Dada aliyeuwawa kikatili.
china bwana mtu asikuambiye kuna sembe watu wanapeleka sembe huko na halafu ndo kazi iliyobaki kupata mashefa kama hawa ndo deal hizo na nona simbaya wache wafanye yao kama wananufaika.
na visa kupata si rahisi lakini kuna mpango unasukwa ukijua mission town unandondoka huko.
watanzania popote pale walipo ni wachoyo sana labda wa tanzania wa d.c wapo poa kidogo
Post a Comment