ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 11, 2014

RIDHIWANI APOKEWA KWA SHANGWE NA WANA CCM WA BAGAMOYO

Mgombea ubunge wa jimbo la Chalinze Ndg Ridhiwani Kikwete akipokewa kwa shangwe na nderemo na leo na wakazi wa Bagamoyo pindi alipokwenda kuchukua fomu za kugombea ubunge.



No comments: