ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 3, 2014

RUTH AFANYIWA BABY SHOWER DMV

 Aunty Zuhura na Aunty Rehema (kulia) wakipata picha ya pamoja kwenye baby shower ya Ruth iliyofanyika Jumapili March 2, 2014 Laurel, Maryland.
 Ruth (kati) akiwa na marafiki zake kwenye Baby shower yake iliyofanyika siku ya Jumampili March 2, 2014
 Ruth katika picha ya pamoja na mama yake (kati) na Salma Moshi (kulia) wakati wa Baby shower yake iiyofanyika Laurel, Maryland siku ya Jumampili March 2, 2014.
Kutoka kushoto ni Salma Moshi, Ruth na Lulu 

No comments: