ANGALIA LIVE NEWS
Wednesday, March 12, 2014
Shukrani kutoka kwa TANO Ladies
TANO Ladies wanatoa shukrani za dhati kwa watu mlioshiriki kwa namna moja au nyingine katika kuhadhimisha sherehe ya siku ya Wanawake Duniani 2014. Shukrani za pekee kwa Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula na wanawake Wajasiriamali walioshiriki kwenye maonyesho:Mitindo Nite, NASHONA,Taste of Tanzania,Farida Cartering,Little Ladies of Diaspora,SHINA INC ,IskaJoJo Studios,Computer Repair Services ,Nesi Wangu ,Bahari Deco.Crafts ,Marbella Events Inc ,Lucy Nombo,Erica Lulwakwa Glenn na Design by Salha Saleh. Mwisho ni akina baba na akina mama wote mliokuja kujumuhika nasi siku ya Jumamosi ,Machi 08. Hatuna cha kuwalipa,lakini wema wenu haujaenda bure! Ahsanteni sana kwa kuwa sisi pekee hatutaweza lakini kwa ushirikiano nanyi, tunaweza!Ahsanteni sana.
Kwa taswira zaidi ilivyokuwa mtembelee IskaJoJo Studios
BOFYA HAPA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

3 comments:
Hongereni sana wadada, wadada tuige mfano wa hawa wenzetu, tuweke pembeni majungu, tukishikamana tunaweza tena sana
TANO ledi oyeeeeeee ! alafu vilevile nataka kusema kitu kuhusu mashehuna wa DC mnasema kuvaa sare haramu sasa mbona sare mmevaa na katikati kunanembo ya msalaba DJ Luke naomba usibanie Comment yangu .
Wee anonymous wa pili huu si msiba NI SHEREHE YA KINA MAMA DUNIANI NA HUO SI MSALABA NI INTERNATIONAL SYMBOL YA SIKU HIYO, YOU NEED TO GO BACK TO SCHOOL HAKO KA DEGREE UCHWARA KA DUNIA YA TATU UNAHITAJI DEGREE YA PILI YA DUNIA YA KWANZA. GO GOOGLE SYMBOL FOR INTERNATIONAL WOMEN DAY!
DJ USIIBANE.
Post a Comment