Vijana wakifanya mazoezi kujiweka mwili sawa, hii ni siku ya kwanza mazoezini kocha anategemea jumapili ya week inayokuja watu watajitokeza zaidi na kufanya mazoezi ya nguvu.
Baada ya mazoezi ni kawaida kupata ukodak kama unavyoona hapa wacheza wote wakipata ukodak mbele ya Camera ya TES wadhamini wa kubwa katika upande wa picha na matukio ya timu ya NYC.
No comments:
Post a Comment