ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 1, 2014

TRAFIKI "AMSHUSHIA KOSOVO" LA NGUVU DEREVA WA BODABODA


 Dereva bodaboda (hakutambulika jina lake) baada ya kupokea kichapo cha askari wa usalama barabarani (nae hakutambulika jina)eneo la Vingunguti
                        ........akionesha uso wa hudhuni baada ya kichapo.
Askari wa usalama barabaranui (hayupo pichani) anadaiwa kumjeruhi dereva bodaboda eneo la vingunguti jijini dar. Chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa, tukio hilo limetokea leo majira ya mchana wakati dereva huyo alipokutana na askari akiwa amebeba abilia wawili maarufu kama"mshikaki". baada ya askri huyo kutaka kupata maelezo ya kina kutoka kwa dereva huyo, ndipo ikatokea hali ya kutyoelewana ndipo askari huyo huyo aliamua kumzaba kibao na kumjeruhi kama picha zinavyoonesha hapo juu.
(PICHA NA: HARUNI SANCHAWA/ GPL)

1 comment:

Anonymous said...

Ee Bongo tambarare, polisi ni huyohuyo hakimu.Akikushika anakuhumu hapohapo.