ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 23, 2014

UKISHIKWA SHIKAMANA

 Paulo akiwa na mdhamini wa pendo lake baada ya kufunga ndoa ya bomani, Paulo ni Mtanzania na mke wake ni West Indies. Paulo amesema anaunga mkono uraia pacha licha ya kuoa mwest Indies nyumbani ni nyumbani  tuu hata kama vipi haki ya Utanzania wa kuzaliwa inaitaji kuheshimiwa.
Kicowboy zaidi habari ndiyo hii Paulo na mama mwenye nyumba wake wakismile mbele ya ukodak wa TES.

3 comments:

Anonymous said...

Na huyu Paulo ni mkubwa au cougar in the mission

Congratulations

Anonymous said...

paulo umeupoa cheupe huhitai hata kuwa na mwanga wa taa malkia wako atakungarishia tu kwa weupe wake big up my man.umeopoa kisura sura

Anonymous said...

Congrats Paulo...naona toka enzi za Mt.Vernon sasa Una mke congrats.