ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 23, 2014

ANGALIA SIMBA ILIVYOPOKEA KICHAPO CHA GOLI 1 KWA 0 DHIDI YA COASTAL UNION

Mshambuliaji wa Simba Sc, Ramadhani Singano 'Messi' akikwaana na beki wa Coastal Union wakati wa mechi ya leo.
Mashabiki wa Simba SC wakiwa wamepoa.
Timu zikiingia uwanjani.
...Zikisalimiana kabla ya mtanange kuanza.
Kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda, akijiandaa kuingia uwanjani.
Benchi la ufundi la Coastal.
Benchi la ufundi la Simba SC.
Simba SC imeendelea kusuasua katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Coastal Union leo.
Bao la Coastal limewekwa kimiani na Hamad Juma dakika ya 45 kipindi cha kwanza katika mechi hiyo iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Chanzo GPL

No comments: