ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, March 20, 2014

UTU UZIMA DAWA PITIA HII STORY NA UTAJIFUNZA JAPO KIDOGO BY MASSANJA MKANDAMIZAJI

MKULIMA mmoja alikuwa anafuga kuku wa kienyeji. Alikuwa na majike 25 jogoo mmoja. Baada ya kuona jogoo amekuwa mzee akaamua kununua jogoo jipya. Ile jogoo mpya kufika tu kukawa na mazungumzo kati ya majogoo;
JOGOO MZEE: Karibu dogo, karibu sana nadhani tutashirikiana vizuri ili kuhakikisha hawa kuku wanataga mayai
JOGOO DOGO: Wewe umeshazeeka ndio maana nimeletwa mimi damu mpya. Hakuna kushirikiana wala nini umekwisha wewe
JOGOO MZEE: Kama unaona nimekwisha basi tufanye mashindano unipime
JOGOO DOGO: Mashindano gani?
JOGOO MZEE: Tushindane mbio tuzunguke nyumba mara mbili, ukishinda mi najitoa. Ila kwa kuwa mi mzee naomba uniache nianze kama hatua kumi mbele
JOGOO DOGO: Poa sana hiyo haya anza kukimbia... mbio zikaanza, walizunguka nyumba mara moja tu, mkulima akamfwata JOGOO DOGO akamkamata na kumchinja huku akilalamika
MKULIMA: Yaani dunia imeharibika, huyu Jogoo wa sita sasa namnunua badala ya kufukuza majike analeta ushoga hapa! Anataka kupanda jogoo mwenzake badala ya mitetea! Labda ahamie huko kwa Obama. Hapa Sitaki Huo upuuzi!

5 comments:

Anonymous said...

Sasa lesson ya hii hadithi ni nini? Kuwa vijana wote watauliwa au kufukuzwa wakihisiwa ni gays Tanzania wabakie wazee tu? Naomba mnieleweshe sijaelewa kabisa.

Anonymous said...

sorry, not funny. Not to Obama but try Tanga maybe?

Anonymous said...

masanja umenitamanisha mlo uliokuwa unakula ni wapi huo mlo poa hata huku majuu sipati miimi mpiga box kwanza hao kamba si mchezo kuwagusa kiyama kwa bei yake.bongo bongo nakutamani nchi yangu jamani

Anonymous said...

wazee ndo wanaweza kazi siku hizi vijana wengi hawawezi kwa mabangi,madawa ya kulevya kujifanya mabisho na tamaa za maisha ya kutaka kupata hara ndo kuna walostisha na kuwafanya wawe kama dakaka. tanzania hakatazi dakaka wako weko wengi tu na raisi wetu hawezi kupinga anahitaji misaada nje.

Anonymous said...

Yuko red lobster huyo