Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana
Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of
Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo
Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand
Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Stephen
Masere (kushoto kwake) wakizungumza na Viongozi wa Kampuni ya Africana
Barrick Gold Tanzania, kwenye makazi yake mjini Dodoma Machi 25,2014.
Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Serikali (Director of
Government Relations)), Balozi Emmanuel Ole Naiko, Makamu wa Rais, Deo
Mwanyika na Ofisa Mtendaji Mkuu (Chief Executive Officer ), Brand
Gordon. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Bunge Maalum la Katiba,
Kingunge Ngombale-Mwiru, Bungeni Mjini Dodoma Machi 25, 2014. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment