YANGA WAPATA AJALI MORO
Wachezaji na viongozi wa tinu ya Yanga, wamepata ajali
maeneo ya Mikese nje ya manispaa ya Morogoro kufuatia Bas walilokuwa
wakisafilia kupinduka. Katika ajali hiyo hakuna majeruhi wala mtu
kufariki. Chanzo cha ajali ni mabas yaendayo bara kuziba njia
No comments:
Post a Comment