Advertisements

Sunday, April 20, 2014

ankal avamia kikao cha ughaibuni...

Ankal akiwa na wadau wakuu wa KIJIWE CHA UGHAIBUNI alipotembelea Maryland, Marekani hivi karibuni, na kutia ubani katika kipindi hicho ambacho kimejizolea umaarufu mkubwa duniani kote. Kulia kwake ni Producer  Mpwa DJ Luke Joe, akifuatiwa na nyota wa mchezo Ben Mwaipaja na Mwanangu Yasin 'Mtoto wa Salamander' bila kumsahau mwenyekiti wa kijiwe. Nyuma ya kochi ni wadau ambao bila wao kipindi hicho kisingekuwa hai. Hii ni baada ya kurekodi kipindi ambacho kitaruka hivi karibuni. Kaa mkao wa kula

2 comments:

Anonymous said...

Benja ndani ya mji sio mchezo lazima .tucheke jumanne hii.

Anonymous said...

nimefurahi kumuona benja, alipotelea wapi? au makaratasi alimbana!