Bridget na Ephraim katika picha ya kwanza kama mke na mume ambao sasa wanajina jipya la Mr & Mrs Johnson. Harusi yao ilifanyika siku ya Jumapili April 13, 2014 Lanham, Maryland na baadae kufuatiwa na sherehe katika ukumbi wa La Fontaine Bleue.
Bwana na Bibi harusi katika picha ya pamoja na familia ya Johnson.
Bwana na Bibi haruasi wakipata picha ya pamoja na mchungaji aliyewafungisha ndoa akiwa na mkewe.
Bwana na Bibi harusi wakipata picha ya pamoja na wapambe wao ambao walikuwa pamoja na familia zao. Mpambe wa Bi harusi akiwa na mumewe na mpambe wa Bwn. harusi akiwa na mkewe na mtoto wao.
Bwana na Bibi harusi katika picha ya pamoja na wapwa wa bwn harusi na akiwemo mjomba na shangazi wa bwn harusi.
Bi harusi akipiga picha na familia yake. Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
No comments:
Post a Comment