Msanii wa Bongo Flava Diamond anatarajiwa kushuka jiji lisilolala New York City weekend ya Labor Day inayoaanza rasmi Aug 29, siku ya Ijumaa, na Jumamosi Aug 30, 2014 na Jumapili anatarajiwa kufanya show kabambe Washington DC
Kwa Ratiba nzima ya show ya Diamond nchini Marekani na majimbo atakayofanya show hiyo Bofya soma zaidi
Leo ni siku ya Wajinga Duniani
No comments:
Post a Comment